Aliyekuwa mca wa kwanza wa Marimanti na baadaye msemaji wa county ya Tharaka Nithi bwana Paul Mwabu Gk, baada ya kusitiza kusimama kwake kutafta kiti hiki, ametangaza kuunga mkono Kennedy kamunyu mwaniaji kiti hiki na Chama Cha UDA,Mwabu aliyetoka location ya Marimanti amesema kuunga Kamunyu mkono na akiwa ametoka Location ya Turima ni dhihirisho kwamba ni Kwa sababu yeye ndiye kiongozi anayefaa kuongoza Marimanti.

Shares
  • getufmradio
  • getufmradio

Share This

Share this post with your friends!

Share This

Share this post with your friends!