Raia mmoja wa Tanzania asakwa na maafisa wa polisi katika sub County ya Transmara kwa kumdunga na muuwa kijana mwenzake kwa sababu ya ugali katika mgondi. Kamnda Wa Polisi kaunti ya Narok Kizito Mutoro alisema jambo hili lilifanyika jana masaa ya jioni wakati wawili walikuwa wakila chanjio baaada ya kazi ngumu katika mgondi wa Kabong. Wawili hawa wakiwa ni raia wa Tanzania Mungare Busene 27 na Magige 23 walikuwa wakiishi pamoja mpaka hapo jana wakati walikosana kwa anjili ya sahani ya sima na Musene akapata kukasirishwa na mwenzake na kuchukua kisu cha jikoni na kumdunga na kumuuwa Magige. Kwa sasa maafisa wa polisi wanamtafuta Busene kwa kifo cha rafiki yake Magige.
POLICE LOOKING FOR A MAN WHO STABBED AND KILLED HIS FRIEND OVER A PIECE OF UGALI
by Nkirote Wa Nyeusi | Oct 7, 2022 | Sports News | 0 comments
Recent Comments