North London Derby Kutamba Leo usiku

North London Derby Kutamba Leo usiku

North London Derby 🔥 Tottenham Hotspur wataumiza nyasi na Wanabunduki Arsenal kwenye mtanange mkali wa Ligi Kuu Uingereza. Wote wanasaka kumaliza ndani ya 4 bora kwenye msimamo wa jedwali ili kushiriki michuano ya klabu bingwa Uropa msimu ujao. Leo mjanja ni...