Waziri wa Kilimo hapa Nchi ya Kenya Peter Gatirau Munya ,hii leo kwenye Ziara yake hapa Tharaka Nithi ajipata na kibarua Ngumu ya Kisiasa,Baada ya kujaribu kumlima kisiasa Naibu wa Rais William Ruto ,Wengi wa Waakazi waliokuwa wamefika kwenye mkutano aliokuwa ameandaa Mitheru wakikataa Naye.

Huku nao Baadhi ya wanasiasa waliokuwa wameandama naye ,Wampigia debe Peter Munya kuwa Naibu wa Rais Wa Raila Amolo Odinga kwenye uchaguzi unaokuja.

Shares
  • getufmradio
  • getufmradio

Share This

Share this post with your friends!

Share This

Share this post with your friends!