“Hio haiwezekani katika taifa letu la Kenya… Kwa hivyo kina mama, mimi nataka niwahakikishie siwesi kuwaruhusu wanawake wenzenu wawaletee competition. Siwezi ruhusu wanaume wawaletee competition, ati wameenda kutafuta wanaume wenzao sasa nyinyi mtatoa wanaume wapi kama wanaume wameenda kujipanga na wanaume wenzao? That one i will not agree.”Ladies and gentlemen, Biblia inasemaje?Leviticus 20:13 ~ If a man lies with a male as with a woman, both of them have committed an abomination; they shall surely be put to death; their blood is upon them.Mambo ya Walawi 20:13 ~ Tena mtu mume akilala pamoja na mtu mume, kama alalavyo na mtu mke, wote wawili amefanya machukizo; hakika watauawa; damu yao itakuwa juu yao.

Shares
  • getufmradio
  • getufmradio

Share This

Share this post with your friends!

Share This

Share this post with your friends!