SASA NI RASMI NIPO SINGLE – Diamond Platinumz.
Staa wa mziki Bonga Diamond Platinumz atangaza rasmi kuwa yuko single wala hana mahusiano yoyote na mwanamke.
Rais huyo wa lebo ya WCB Wasafi amethibitisha hilo kupitia IG story yake na kuhakikisha endapo atakua kwenye mahusiano ataweka parawanja.
Hivi ni kiki ama mwamba hataki vidosho tena?

Recent Comments