Shares
  • getufmradio
  • getufmradio

Huku tetesi zikizidi kuenea kwamba Seneta wa Meru Kathuri Murungi anapanga kuwania kiti cha ugavana wa Meru kwenye uchaguzi ujao, baadhi ya wakazi wa Buuri maoni tofauti.

Wakazi hao wamesema kuwa ingawa Seneta Kathuri ana uungwaji mkono, haijabainika wazi ikiwa anaweza kumshida Mwangaza, ambaye bado ana wafuasi wa kutosha.

Hali hii inaashiria mchuano mkali wa kisiasa unaoweza kutokea katika uchaguzi mkuu wa 2027, huku wadadisi wa siasa wakisubiri kuona iwapo Seneta Kathuri atachukua hatua rasmi ya kuwania kiti hicho.

Share This

Share this post with your friends!

Share This

Share this post with your friends!