Sasa Ngavana wa Tharaka Nithi Muthomi Njuki ,Aomba Rais Uhuru Kenyatta kupa Nafasi Wanaichi wa Kenya kujiamulia Wanaotaka awe Rais wa Inchi hii ya Kenya Baada yake kustaafu, na akuna Aja ya kulazimisha watu mlengo wasiasa watakaofuata.

Aidha na hayo Aomba kwa unyenyekevu watu wa Kaunti Tharaka Nithi kumpa hawamu nyingine ya Miaka tano,Ili kumaliza Miradi mingi alioianza.

Share This

Share this post with your friends!

Share This

Share this post with your friends!