Mca wa Marimanti Madam Susan Ngugi Mwindu akizungumza na wakaazi wa Matagataani ward ya chiakariga akosoa utendakazi wa mjumbe mwakilishi Kina mama Beatrice Nkatha Nyaga ambaye amesema utendakazi wake uko chini ya kipimo, kutegemea tu mgao wa NGAAF bila ya kutafta Fedha mbadala za maendeleo, na kumtaja kama mwenye tabia ya kuwafanyia wapiga kura maendeleo bila kuwahusisha ili kujua pendekezo lao

Shares
  • getufmradio
  • getufmradio

Share This

Share this post with your friends!

Share This

Share this post with your friends!