Kevin Okasimba 23 amehukumiwa kifungo cha miezi mitatu jela baada ya kukiri mashtaka ya kuiba chupachai na sahani tatu za mama yake. Kevin alikiri mashtaka hayo alipofikishwa mbele ya Hakimu Mkuu Mkazi wa Mombasa Vincent Adet. Katika kujitetea kwake, Okasimba aliambia mahakama kuwa aliiba vyombo hivyo kwa sababu alikuwa na njaa na alihitaji chakula ambacho mama yake hakuweza kumpatia.

Share This

Share this post with your friends!

Share This

Share this post with your friends!