Mbunge wa Maara Kareke Mbiuki Aomba watu wa Tharaka Nithi Pamoja na watu wa mount Kenya East kwa ujumla, kutokuwa na wasiwasi wowote kwa sababu ya kutochukuliwa kwa Kindiki Kama Naibu wa William Ruto,Huku akisema ana Imani Ruto lazimaa atampa Kindiki Kiti kubwa kitakacho saidia watu wengi wa Mlima Kenya, kama huenda watachukua usukani wa Serikali miezi tu chache inayobaki.
Aidha na hayo anasema katu hawatabaduka kutoka mlengo wa Kenya kwanza.

Recent Comments