Mshambuliaji wa timu ya taifa ya wanawake ya Nigeria na Barcelona Femeni Asisat Oshoala ndiye mfungaji bora msimu huu kwenye Ligi Kuu ya wanawake Uhispania na magoli 20.
Mshambuliaji wa timu ya taifa ya wanawake ya Nigeria na Barcelona Femeni Asisat Oshoala ndiye mfungaji bora msimu huu kwenye Ligi Kuu ya wanawake Uhispania na magoli 20.Barcelona Femeni ndio mabingwa msimu huu hawajapoteza michuano yote 30 ya Ligi. Mechi 30 ushindi 30 🔥.
Barcelona Femeni ndio mabingwa msimu huu hawajapoteza michuano yote 30 ya Ligi. Mechi 30 ushindi 30 🔥.

Recent Comments