Akizungumza katika subcounty yake ya nyumbani ya Tharaka North katika soko ya Gakauni na MARAWA, Mca wa Mukothima Mwenda Gataya anayegombea useneta Tharaka Nithi asema uongozi wake kama mca wa mukothima Kwa kipindi Cha miaka kumi ni dhihirisho tosha kwamba anafaa na anajua shida zote zinazoikumba Tharaka nithi na anao ujuzi wa utunzi wa sheria

Shares
  • getufmradio
  • getufmradio

Share This

Share this post with your friends!

Share This

Share this post with your friends!